• Trending Topics

Enock Maregesi Quotes

  • 92 Posts
  • 0 Followers

Sheria wakati mwingine inaweza kuonea mtu. Pigana hata tone la mwisho kutetea haki yako.

Quoted by Enock Maregesi

Hekima ni fikra inayotoka moyoni, busara ni hekima inayozungumzwa.

Quoted by Enock Maregesi

Amani ya moyo ndicho kipimo cha mafanikio yetu.

Quoted by Enock Maregesi

Fanya kazi kwa bidii leo, kuokoa kesho yako kesho.

Quoted by Enock Maregesi

Kinachofanyika leo kitatuathiri kesho. Okoa kesho leo.

Quoted by Enock Maregesi

Ukiwanyima watoto uhuru wa kuwa watoto leo watakuwa na uhuru wa kuwa watoto kesho.

Quoted by Enock Maregesi

Ukitaka kufanikiwa katika maisha yako kuwa tayari kuitwa mjinga au mpumbavu.

Quoted by Enock Maregesi

Hadithi ya maisha yangu ni yangu. Wewe ni nani kusema hadithi yangu si ya kweli?

Quoted by Enock Maregesi

Hekima ni ufunguo wa kufanya maamuzi mema kulingana na msingi wa maarifa ya Biblia.

Quoted by Enock Maregesi

Mwenye hekima huzungumza kilicho na maana! Kinaweza kuwa kizuri au kibaya.

Quoted by Enock Maregesi

Ukiwa mwema hupaswi kuiogopa serikali, lakini ukiwa mwovu lazima uiogope.

Quoted by Enock Maregesi

Kujenga urafiki na wanasiasa wakati mwingine ni kitu kizuri. Wanasaidia kurahisisha mambo.

Quoted by Enock Maregesi

Historia inajirudia yenyewe, kwa faida yetu, ili tujirekebishe.

Quoted by Enock Maregesi

Historia isipojirudia hatutaweza kujifunza jambo.

Quoted by Enock Maregesi

Kabla hujaanza kufanya chochote, au kusema chochote, pangilia mawazo.

Quoted by Enock Maregesi

Kujamiiana si anasa tena katika maisha yangu. Ni hitaji muhimu kwa ujenzi wa familia.

Quoted by Enock Maregesi

Mtu anaweza kuchanganyikiwa lakini akasema kitu cha hekima, akiongozwa na Roho Mtakatifu.

Quoted by Enock Maregesi

Heri kuogopwa kuliko kupendwa kama huwezi kuogopwa na kupendwa kwa wakati mmoja.

Quoted by Enock Maregesi

Dhambi ikizidi katika taifa, Mungu ataliangamiza. Taifa likitenda haki, Mungu ataliinua.

Quoted by Enock Maregesi

Unataka kuondoa dhambi lakini hukutani na wenye dhambi. Hiyo dhambi utaiondoaje?

Quoted by Enock Maregesi

MORE