
Mtu anaweza kuchanganyikiwa lakini akasema kitu cha hekima, akiongozwa na Roho Mtakatifu.
Quoted by Enock Maregesi

Mungu haamui jinsi watu wanavyoamua. Mtu akikwambia huna kipaji muulize yeye ni nani.
Quoted by Enock Maregesi

Hufanani na yoyote katika dunia hii. Unafanana na wewe mwenyewe. Usimdharau mtu, humjui!
Quoted by Enock Maregesi

Ukiua mtu damu yake itakusuta maisha yako yote! Itaongea na wewe ikikulaumu milele!
Quoted by Enock Maregesi

Mtu akikuomba msamaha msamehe. Usipomsamehe hutasamehewa na aliyetusamehe.
Quoted by Enock Maregesi

Shetani angekuwa na uwezo wa kuona ndani ya moyo wa mtu, binadamu angeshatengeneza moyo.
Quoted by Enock Maregesi

Si rahisi kumkamata mtu anayeandamana moyoni mwake.
Quoted by Enock Maregesi