• Trending Topics

Mungu Quotes

  • 7 Posts
  • 0 Followers

Dhambi ikizidi katika taifa, Mungu ataliangamiza. Taifa likitenda haki, Mungu ataliinua.

Quoted by Enock Maregesi

Mungu haamui jinsi watu wanavyoamua. Mtu akikwambia huna kipaji muulize yeye ni nani.

Quoted by Enock Maregesi

Kuna watu hawaamini kama Mungu yupo, lakini maisha yao yanaamini.

Quoted by Enock Maregesi

Mungu anataka nini zaidi kutoka kwako? Anakutaka wewe.

Quoted by Enock Maregesi

Kuwa na kiasi katika matarajio yako. Hatuna uwezo wa kuona mambo kama Mungu anavyoyaona.

Quoted by Enock Maregesi

Mungu asingekuwepo matajiri wangehonga kifo ili waishi milele.

Quoted by Enock Maregesi

Ubatizo ni hatua ya kwanza ya wokovu, na Wakristo ni matunda ya kwanza ya Mungu.

Quoted by Enock Maregesi